Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Wednesday, November 4, 2009

NADIR HAROUB - MIMI YANGA SI NG`OKI NG`O..!!!

Beki wa kutumainiwa wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars na Klabu ya Dar es Salaam Young African Nadir Haroub Cannavaro ameshangazwa na taarifa iliyotolewa na baadhi ya vyombo vya habari kuwa ameachwa katika orodha ya wachezaji waliokwenda Nchini Misri kucheza mchezo wa Kimataifa wa kirafiki kufuatia kiwango chake kushuka.
Cannavaro amesema leo ni siku ya sita tangu afike kutoka Cannada hivyo alichelewa kujiunga na kambi hiyo hivyo majina yalipelekwa mapema walidhani kuwa hatoweza kufika hapa nchini lakini wachezaji waliokwenda ni 19
Aidha Cannavaro amekanusha madai ya kutaka kujiunga na simba na kudai hana mpango wa kujiunga na klabu yoyoye hapa Nchini kwani bado anamkataba na Timu ya Yanga wa miaka miwili na anaipenda Timu hiyo.
Nadir Haroub Cannavaro amerejea kutoka nchini Canada alipokuwa akiichezea timu ya Vancouver Whitecaps kwa kipindi cha miezi mitatu hivyo mkataba wake umekwisha na kuamua kurudi nyumbani kuendelea kuichezea klabu ya Yanga.

No comments :

Post a Comment