Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Tuesday, November 10, 2009

SIMBA YATAMBA KUTWAA UCHAMPION WA TUSKER CHALENGE CUP

Uongozi wa wekundu wa Msimbazi Simba umeshangazwa na taarifa zilizo enea kuwa klabu hiyo inampango wa kumsajili winga wa Timu ya Yanga Mike Barasa katika dirisha dogo la usajili unaoendelea hivi sasa.
Afisa Habari wa Simba Cliford Mario Dimbo ametanabaisha umma kuwa taarifa hizo si za kweli isipokuwa wanasubiri Kocha Mkuu Patrick Phiri kuwa ni aina gani ya wachezaji atakaowahitaji.
Ndimbo pia amejigamba katika shindano la Tusker Challenge Cup litakaloaanza Decemba kuwa watahakikisha wanalichukua tena kutokana na kikosi chao kusheheni wachezaji wazuri kuliko vilabu vyote vitakavyoshiriki katika michuano hiyo.
Simba kesho inateremka katika dimba la Uhuru kucheza na timu ya Rovu Shooting ikiwa ni mchezo wa kirafiki kocha akiutumia kujaribu wachezaji wake ambao hawakupata nafasi ya kucheza katika kikosi cha kwanza.

No comments :

Post a Comment