Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Thursday, November 5, 2009

UJIO WA KOMBE LA DUNIA IWE CHANGAMOTO

Mkurugenzi wa ufundi wa TFF Sande Kayuni (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari katika mkutano uliyofanyika TFF, katikati ni Afisa Mwandamizi wa Masoko wa kampuni ya Hyundai Antony Nyeupe, na meneja masoko wa Coca Cola wadhamini wa kuu wa ziara ya kombe la Dunia Rita Tsehai.

Mkurugenzi wa Ufundi wa Shirikisho la Soka hapa Nchini TFF Sunday Kayuni amesema Watanzania tunatakiwa tuamke kwa kuanza kufanya mipango mapema ili kuhakikisha tunachukua Kombe la Dunia badala ya kuwa watazamaji.
Kayuni ameyasema hayo hii leo katika kumbi wa TFF wakati wakiwa na Wadhamini wakuu wa Kombe hilo la Dunia Kampuni ya kinywaji cha Coca cola na watengenezaji wa Magari aina ya Hyundai, Kayuni amesema hii ni mara ya pili kwa Kombe hilo kuja hapa nchini hivyo hii ni changamoto kwetu sisi kuanza kujipanga.
Naye Afisa mwandamizi wa masoko wa Kampuni ya Hyundai Antony Nyeupe amesema katika ujio huo wa Kombe hilo watahakikisha suala zima la usafiri wa ardhini unapatikana kwa kipindi chote, kwa kutoa magari kumi kama moja ya makubaliano wa mkataba wao.Rita Tsehai meneja masoko wa Coca Cola akipokea funguo ikiwa ni ishara ya makabidhiano ya magari 10 yaliyotolewa na Hyundai kwa ajili ya ziara ya kombe la Dunia hapa nchini.toka kulia ni Sande Kayuni, Rita Tsehai na Gerald wakipozi katika picha ya pamoja.Wadau wa Hyundai na Coca Cola wakipiga picha ya pamoja ikiwa ni ishara ya kuungana katika mapokezi ya ziara ya kombe la Dunia.

No comments :

Post a Comment