
Meneja Mkuu wa Kiwanda cha Bia cha Serengeti (SBL) Bw. Wiston Kagusa (kulia) akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milion 1.5 kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha wakemia Tanzania Dkt.Ludovick Manege, Dar es salaam kwa ajili ya kufanya shughuli za uchaguzi wa wanafunzi wakemia, wanaoshuhudia ni Makamu wa katibu wa chama hicho.Bw.Daniel Ndiyo, wa pili kushoto na Meneja uhusiano na Mawasiliano wa (SBL) Bi. Teddy Mapunda.(Picha na Rajabu Mhamila)
No comments :
Post a Comment