Mchuano ya Mabara ya Jumuia ya madola iliyopagwa kufanyika Desemba mwaka huu mjini Abuja nchini Nigeria imepigwa kalenda hadi hapo itakapotangazwa tena.
Akiongea na kipindi cha Michezo na Burudani Katibu Mkuu wa chama cha mchezo huo hapa nchini TAHA, Nicolas Mihayo amesema timu ya taifa ya Tanzania imepata nafasi ya kuarikwa katika michuano hiyo pamoja na Cameroon na India.
Amefafanua kuwa kusogezwa mbele michuano kutasaidia kujiandaa vyema katika ushiriki huo kwa kuwa timu ya Tanzania itachaguliwa katika michuano ya Afrika Mashariki na kati yatakayoanza Novemba 14 visiwani Zanzibar.
WATUMISHI WAPYA WA OFISI YA MSAJILI WA HAZINA WAPIGWA MSASA
-
Na Mwandishi wa OMH
Kibaha, Pwani. Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH), kwa kushirikiana na Chuo
cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC), imeendesha mafunzo ya...
8 hours ago
No comments :
Post a Comment