Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Tuesday, November 10, 2009

TFF CHANZO CHA WAAMUZI KUPOKEA RUSHWA

Waamuzi wanaochezesha Ligi Daraja la kwanza kwa nyakati tofauti wameilalamikia Shirikisho la soka Nchini TFF kwa kushindwa kupatiwa fedha zao kama malipo tangu mwanzo wa Ligi hiyo mpaka sasa.
Mmoja wa Waamuzi hao akizungumza na kipindi cha michezo na burudani wametanabaisha kuwa mara kwa mara wanapuulizia kuhusu posho zao wanaambiwa kuwa wasubiri huku wengine wakiambiwa kuwa tayari wameshalipwa.
Waamuzi hao wamesema wamekuwa wakitupiwa lawama na tuhuma za rushwa katika michezo ya ligi kuu na kupelekea wenzao kufungiwa lakini wamedai TFF inachangia waamuzi hao kupokea rushwa kufuatia kutolipwa posho zao kwa wakati.
Amesema unakuta mwamuzi anatumia fedha zake za mfukoni hadi zinakwisha bila kupatiwa posho ilihali wanasafiri na kulala gesti, na kuhoji vipi wanaweza kujikimu.
Wamesema kuna baadhi ya waamuzi tangu michuano ya ligi daraja la kwanzaimeanza hawajapatiwa fedha zao achilia mbali ambao hawajalipwa malipo ya michezo mitatu, hadi mitano.

No comments :

Post a Comment