Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Wednesday, November 25, 2009

WANAFUNZI WAFANYA KWELI KATIKA SANAA ZA JUKWAANI

Baadhi ya wasanii wa kikundi cha Bongo Wookeez, wakicheza wakati wa Tamasha, lililowakutanisha shule mbalimbali za jiji la Dar es salaam lililodhaminiwa na kampuni ya Vodacom kwa ajili ya kuwaleta karibu na huduma mbalimbali za kampuni hiyo.(Picha na Rajabu Mhamila)Baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Ilala, wakicheza wakati wa Tamasha, lililowakutanisha shule mbalimbali za jiji la Dar es salaam juzi lililodhaminiwa na kampuni ya Vodacom kwa ajili ya kuwaleta karibu na huduma mbalimbali za kampuni hiyo.(Picha na Rajabu Mhamila)

No comments :

Post a Comment