Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Monday, November 16, 2009

MAXIMO - KUIZOMEA STARS NI USHAMBA

Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars Mbraziri Marcio Basilio Maximo Amesisitiza kuwa mchezaji asiye na uwezo, Utaifa,Ubinafsi na nidhamu nje na ndani ya Uwanja asahau kuitwa kwenye kikosi chake.
Akizungumza na waandishi wa Habari katika Ofisi za TFF Maximo amesema kuwa kutofanya vizuri kwa Taifa Stars hata yeye hapendi matokeo mabaya lakini tukumbuke tulipotoka na sasa tupowapi na kufanya vizuri kwa timu si mafanikio ya muda mfupi jinsi Watanzania tunavyofikiri.
Maximo ameongeza kuwa tusifikirie wachezaji wa Timu ya Taifa tulionao kwa sasa ambao umri wao unafikia ukingoni bali tuwe na mipango endelevu ikiwa ni pamoja na kuimarisha michezo kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 na 21 ili kupata Timu ya Taifa Bora hapo baadae.
Timu ya Taifa inatarajiwa kuingia kambini kesho kutwa kujiandaa na Mashindano ya Chalenji itakayoshirikisha jumla ya Nchni 11 itakayoanza kutimua vumbi mwishoni mwa mwezi huu huko Nchni Kenya.

No comments :

Post a Comment