MIEZI kadhaa baada ya kuvunjika kwa ndoa yake iliyodumu kwa siku nne, mwanadada kutoka kiwanda cha filamu za Kibongo, Skyner Ally ‘Skaina’ ameiambia mpekuzi kuwa kwa sasa hayupo tayari kuolewa tena kama ilivyokuwa mwanzo bali kuolewa kwake kutachukua muda mrefu.
Skaina alisema hana wazo la kuolewa ila akitokea mwanaume anayejitambua na ambaye anataka kuoa kweli, ataolewa, lakini siyo kama ilivyokuwa mwanzo kwani alipata mchumba kwa muda mfupi na kuolewa jambo ambalo halikuwa na mafanikio.
No comments :
Post a Comment