Mmoja
wa wakazi wa mji wa Ludewa, Thadey Ngairo, akitoa maoni yake kuhusu
katiba mpya, mbele ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema), Freeman Mbowe, wakati wa mkutano wa hadhara wa Mabaraza ya
Wazi ya chama hicho wa kujadili katiba mpya mjini Ludewa. (Picha na
Joseph Senga)
Mkurugenzi
wa Sheria na Haki za Binadamu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema), Tundu Lissu, akiwahutubia wananchi wa mji wa Songea, katika
mkutano wa hadhara wa Mabaraza ya Wazi ya chama hicho, kujadili rasimu
ya katiba mpya, uliofanyika mjini Songea.
No comments :
Post a Comment