Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00

Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Saturday, August 17, 2013

MOMBA NA MWAMAKULA WATUNISHIANA MISULI KUZIPIGA JUMAPILI AUGUST 18

Bondia Sadiki Momba kushoto akitunishiana misuli na Amos Mwamakula baada ya kupima uzito jana  kwa ajili ya mpambano wao wa ubingwa wa Taifa PST utakaofanyika siku ya jumapili katika ukumbi wa friends corner ManzeseDar es salaam picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Habibu Pengo kushoto akitunishiana misuli na Iddy Mkwera baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofaNyika Manzese Dar es salaam siku ya jumapili.Picha na picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments :

Post a Comment