Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd
akishukuru uongozi wa NMB kwa kuandaa wasaa mzuri na kushiriki katika
kukamilisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.Hii ilikua katika futari iliyoandaliwa
na Benki ya NMB tawi la Zanzibar kwenye hoteli ya Zanzibar Ocean view
Zanzibar mwishon mwa wiki.
Mkuu wa
kitengo cha akaunti binafsi wa NMB, Abdulmagid Nsekela akiongoza wageni
waalikwa katika kupata futari.
Meneja Mawasiliano NMB, Josephine Kulwa
nae hakubakia nyuma kushiriki futari na wateja wa NMB
Maofisa wa NMB wakiwa wameambatana kuingia ukumbini na
mgeni rasmi (katikati) katika hafla hii ya kushiriki futari na wateja wa NMB
mjini Zanzibar.
No comments :
Post a Comment