Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Sunday, September 6, 2009

ATHUMANI AFUNGIWA MIEZI MITATU KWA UTOVU WA NIDHAMU

Kiungo wa mabigwa wa soka hapa nchini Dar es Salaam Young African Sports Club Athumani Idd "Chuji" amefungiwa kutocheza mpira kwa kipindi cha miezi mitatu kuanzia leo kutokana na utovu wa nidhamu.
Akizungumza na kipindi cha michezo na burudani cha Radio Times FM Katibu Mkuu wa Shirikisho la kandanda hapa nchini TFF, Fredrick Mwakalebela amesema katika mchezo wa Ligi kuu ya VodaCom Agost 23 mwaka huu uliyochezwa kati ya Yanga na Afrikan Lyon baada ya mchezo mchezaji huyo alitokea sehemu ya wachezaji wa akiba na kumshambulia mwamuzi.
Katika mchezo huo mwamuzi wa kati alikuwa Oden Mbaga, mwamuzi msaidizi namba moja Hamisi Chagwalu na namba mbili Zahara Mohamed.
Wakati huo naye kocha wa klabu hiyo Dusan Condic amefungiwa kutojitokeza katika benchi la Yanga kwa michezo mitatu kufuatia kumtolea mwamuzi msaidizi lugha chafu.

No comments :

Post a Comment