
Janet Masanja wa Vodacom akizungumza na warembo wakati walipotembelea ofisini kwake na kupata maelezo mmbali mbali juu ya huduma kwa wateja.

Waandishi wa habari waandamizi wa TBC1 Angela Msangi(kulia)Khadija Kalili(Tanzania Daima) wakiwa na Miss Tanzania 2008 Nasri Kareem wakati warembo walipotembelea Vodashop mtaa wa Samora Avenue.
No comments :
Post a Comment