Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Monday, September 7, 2009

SIMBA YAANZA MAZOEZI LEO...!!!

Vinara wa ligi kuu Tanzania Bara Simba ambao hadi sasa wakiwa tayari wamekwishacheza michezo mitatu wamefanikiwa kujikusanyia pointi tisa sawa na Mtibwa Suger.
Simba wanaanza mazoezi leo katika uwanja wa Kiness baada ya mapumziko mafupi baada ya mchezo na Toto Afrcan ya Mwanza.
Simba itaingia kambini rasmi hapo kesho kuanza maandalizi ya mchezo wake wa tarehe 10 siku ya Alhamisi dhidi ya Kagera Suger, mchezo ambao utachezwa katika uwanja wa Uhuru.

2 comments :

  1. hawa vijana nawapa heko sana maana wananikuna uchezaji wao wakiendelea hivyo watachukuwa ubingwa na naona hata kinyanganyilo cha shirikisho barani africa naona watafika mbali mwakani

    ReplyDelete
  2. hawa vijana wananikuna sana kutokana game wanayocheza kama wataendelea hivi watafika mbali na hata kombe la shirikisho mwakani wanaweza fika mbari

    ReplyDelete