Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Wednesday, September 2, 2009

STANBIC BANK KUPELEKA WAWILI MATAIFA YA AFRIKA - ANGOLA

maafisa wa Stanbic Bank Tanzania Limited pamoja na mkurugenzi wa ufundi wa shirikisho la kandanda Tanzania TFF Sande Kayuni wakiunyanyua mpira juu ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa STANBIC AFCON 2010kutoka kushoto ni Afisa uhusiano Urasa Sarakikya na meneja masoko na mahusiano Abdallah Singano wakizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa Stanbic AFCON 2010.
Stanbic Bank Tanzania Limited imezindua kampeni ya Stanbic AFCON 2010 ambapo wateja wake watapata nafasi ya kujishindia zawadi mbali mbali zikiwa ni pamoja na tiketi mbili za ndege kwenda na kurudi Luanda, Angola kutazama mechi ya fainali za kombe la mataifa ya Afrika.
Waandishi wa habari wakiwajibika katika uzinduzi wa fungua, tumia na shinda na Stanbic Bank.

No comments :

Post a Comment