Bendi ya Muziki wa Dansi Tanzania Sikinde Ngoma ya Ukaye kwa sasa ipo kambini ikijipanga kurudi tena katika chati ya muziki huo hapa nchini ambapo wataanza kutoa burudani siku ya Iddi Mosi watatumbuiza katika ukumbi wa DDC Kariakoo (Old Traford) na Iddi Pili watakuwa Max Bar Ilala Bungoni.
NGORONGORO HAKUNA KULALA SABASABA.
-
Tukio la Ngorongoro kuonesha vivutio vya utalii mubashara kupitia runings
kubwa iliyofungwa katika banda la Wizara ya Maliasili na Utalii
limevutia wanan...
1 day ago
No comments :
Post a Comment