Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Thursday, September 10, 2009

SIMBA KWENYE KONA SHAAAAAAA...!!!

Mnyama Simba amezidi kujikita kileleni katika msimamo wa ligi kuu Tanzania Bara baada ya kuizamisha Kagera Suger kwa magoli 2-0.
Goli la kwanza la Simba lilifungwa na mchezaji Haruna Moshi "Boban" katika dakika ya 17 na goli la pili lilifungwa Mohammed Kijuso katika dakika ya 77.
Kufuatia ushindi huo Simba sasa inafikisha jumla ya pointi 12, ikifuatiwa na Mtibwa yenye pointi 9, huku ikiwaacha wapinzani wao Yanga waliyo nafasi ya tano kwa tofauti ya pointi 7.

2 comments :

  1. big up sana wazee poa sana kwa kutupasha habari hasa sisi tulio nje ya nchi. sasa napenda kujua matokeo ya gemu kati ya mtibwa na majimaji lililopigwa juzi nadhani. matokeo yakoje?
    mdau, UK

    ReplyDelete
  2. Tunashukuru Mdau toka UK kwa kufuatilia habari mbali mbali ambazo tunaziweka katika www.viwanjani.blogspot.com Mchezo kati ya Maji Maji na Mtibwa Suger, Maji maji ilishinda kwa goli 1-0 dhidi ya Mtibwa, endelea kuwa nasi na usisite kutupatia maoni yako, habari, na picha ili tuweze kukihidhi mahitaji ya wa Tanzania wengi waliyo nje ya nchi

    ReplyDelete