Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Wednesday, September 2, 2009

WATENDAJI WA KUAJIRIWA YANGA WAKABIDHIWA RASMI MOKOBA JANGWANI!!!

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Kuchaguliwa Klabu ya Yanga, Lucas Kisasa (kulia) akimkabidhi Katibu wa kuajiriwa, Laurance Mwalusako,nyaraka mbalimbali za kazi Makao Makuu ya Klabu hiyo Dar es salaam anaeshughudia katikati ni Mwenyekiti wa Yanga, Imani Madega.(Picha na Rajabu Mhamila)
Katibu mkuu wa zamani wa klabu ya Yanga Lucas Antony Kisasa amemkabidhi Nyaraka mbalimbali Katibu Mkuu wa kuajiriwa Laurence Mwalusako, makabidhiano yaliyofanyika katika maskani ya klabu ya Jagwani jijini Dar es Salaam.
Akimkabidhi Nyaraka Lucas Kisasa amewashukuru wanachama na wadau wa klabu hiyo kwa ushirikiano wao waliompa kwa muda wake wote wa Uongozi na amehadi kushirikiana nao kwa kila jambo.
Kisasa amesema mrithi wa nafasi yake anamfahamu vizuri hivyo anamkabidhi nafasi hiyo kwa moyo mkunjufu na ana amini atafanya vizuri.Jengo la Yanga linazidi kupendeza kufuatia ukarabati mkubwa unaofanywa na klabu hiyo.

No comments :

Post a Comment