Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Thursday, May 19, 2011

BOB MARLEY DAY - 2011








Ø Yes Reggae Massive ..Waandaaji Wakali wa matamasha ya reggae nchini wanawaletea tamasha la kumuenzi Mfalme Wa Reggae BOB MARLEY


Ø Tamasha hilo litafanyika siku ya j moss tarehe 21 May 2011 ndani ya HUNTERS BEACH-KIGAMBONI


Ø Katika kunogesha maazimisho hayo kutakua na maonesho ya kazi za sanaa asilia ambayo yataanza saa sita mchana na baadae ikifwatiwa na live performance kali kutoka bendi za wasanii mahiri wa Reggae wakiwemo


JHIKO MAN and AFRIKABISA BAND,MZUNGU KICHAA,RAS NGWANDUMI ,BUMMIJAH,RAS MIZIZI na MACHIFU BAND.Pia Kutakuepo na mshindi wa tunzo ya msanii bor.a wa reggae nchini,HARD MAD. Bila kusahau Surprise show kutoka kwa wasaani waalikwa.


Ø Kama hiyo haitoshi…zitapigwa mixing kali za reggae kutoka kwa Reggae djs Mahiri akiwamo JA BLAZE,CRUCIAL YUSS along side KAKA MALIK


Ø Kumbuka ni tarehe 21 May ndani ya HUNTERS BEACH-KIGAMBONI na tamasha litaaza toka sa sita mchana mpaka majogoo.Ebaneeee..hii si ya kukosa.Tamasha hili limezaminiwa na 100.5 TIMES FM,TANZANIA RASTAFARIAN MOVEMENT na JAHRO SOUND

No comments :

Post a Comment