Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Sunday, May 29, 2011

Extra Bongo Walivyomtambulisha Banza Stone, Blospot na Meneja Mpya ..


Mwanamuziki maarufu nchini wa nyimbo za Dansi, Banza Stone, Mwalimu wa walimu akiimba wimbo wa Falsafa katika 'show'i iliyokuwa maalumu kumtambulisho jana usiku Mzalendo Pub Kijitonyama jijini Dar es Salaam. Banza stone ametua katika bendi hiyo hivi karibuni na jana ilikuwa utambulisho wake rasmi. Banza aliwakongo nyoyo mashabiki wa Muziki wa Dansi kisawasawa kufuatia uimbaji wake mahiri.


Banza Stone akiimba sambamba na Ally Choki na wanamuziki wengine katika safu ya uimbaji ya Extra Bongo usiku wa kuamkia leo ndani ya Mzalendo Pub.

Show... kambambe iliporomosha na wacheza show mahiri wa Extra Bongo.

Wazee wakazi, wazee waliojitoa muhanga, wazee wa kujinafasi, wazee wa show ya kufa mtu wakiongozwa na dansa mahiri Super Nyamwele wakifanya mambo


Ally Choki akimtambulisha Meneja mpya wa Bendi ya Extra Bongo anaekwenda kwa jina la 'Tito' aka Tito Meneja.

Ally Choki mkurugenzi wa Bendi ya Exta Bongo akimtambuliaha Macheleh, mataalamu mwendeshaji wa Blospot ya Extra Bongo. http://extrabongo.blogspot.com

Wadau, Kutoka kushoto Cesilia Jeremia kutoka Radio Uhuru, Amina Singo wa Time s Radio na Da' Rachel Mwilingwa mhariri wa Michezo gazeti Mtanzania wakijinafasi ndani ya Mzalendo Pub.

Mashaiki wakiserebuka na wana wa Extra Bongo. (Picha zote na Victor Makinda)

No comments :

Post a Comment