Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Tuesday, May 31, 2011

KAMATI YA SHEREHE ZA UBINGWA YAKUTANA LEO

Kamati itakayosimamia sherehe za ubingwa Tanzania Bara inatarajia kukutana leo kwa mara ya kwanza kwa ajili ya maandalizi ya sherehe hizo zitakazozinduliwa tarehe 18/6/2011.
Akizungumza na mtandao wa Klabu ya Yanga,Afisa wa habari wa Klabu ya Yanga,Louis Sendeu,amesema maandalizi hayo yanaanza hii leo kwa kushirikiana na wadhamini wao TBL,kupitia bia ya Kilimanjaro Lager.“Sherehe hizi zitahusisha baadhi ya Mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani kupitia wanachama wao waliopo katika matawi mbalimbali.”Sendeu.
Wajumbe watakaoshiriki katika kikao hicho ni pamoja na Stanley Kivella (Yono)ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo,Louis Sendeu Katibu.
Wajumbe ni Athumani Makaranga,Pelegrinius Rutta na Mohamed Bhinda.

No comments :

Post a Comment