Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Tuesday, May 10, 2011

SHINDANO LA MISS KAGERA LAZINDULIWA RASMI

Miss Tanzania 2010-2011, Genevive Mpangala, akipokewa kwa shangwe uwanja wa ndege wa mjini Bukoba, wakati alipofika kwa ajili ya kuhudhuri uzinduzi wa shindano la Miss Kagera. Shindano hilo linatarajia kufanyika Juni 10 mwaka huu katika ukumbi wa Linaz Club uliopo karibu kabisa na Magereza.

Shandano hilo limedhaminiwa na makampuni tofauti kama kampuni ya simu za mkononi, Vodacom, Reds, Cocacola Nyanza Bottles, Michuzi Blog, Vision Fm ya mjini Bukoba, Kasibante Fm ya mjini Bukoba, mama Nice saluni na wengine wengi.

Genevive, akizungumza wakati wa uzinduzi huo.
Genevive, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Kamati ya Miss Tanzania, pamoja na waandaaji wa shindano hilo.

No comments :

Post a Comment