Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Sunday, May 15, 2011

MARY JOEL NDIYE VODACOM MISS ARUSHA CITY CENTER 2011






Mwanadada Mary Joel (katikati) amenyakua taji la kuwa Vodacom Miss Arusha City Center 2011 katika ngazi ya kitongoji kanda ya kaskazini. Pembeni yake kulia ni mshindi pili Neema Edward pamoja na Stacey Alfred. Shindano hilo lilifanyika katika ukumbi wa Triple A, Arusha.


Mwanadada Zahra Seleman ambaye ni Vodacom Miss Arusha City Center 2010 akimvalisha taji Mary Joel ambaye amekuwa Vodacom Miss Arusha City Center 2011. Shindano hilo lilifanyika katika ukumbi wa Triple A, Arusha

No comments :

Post a Comment