
Nasibu Ramadhani (kushoto) akipambana na Juma Fundi wakati wa mpambano wao wa kugombania ubingwa lililopigwa raundi 12 na Nasibu kuibuka na ushindi kwa point

Mashabiki wakiendelea kumpa sapoti Juma Fundi

mpambano unaendelea

Juma Fundi (kushoto) na Nasibu Ramadhani wakioneshana ufundi wa kutupa masumbwi wakati wa pambano lao Dar es salaam jana

mashabiki wakiangalia mpambano
No comments :
Post a Comment