Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00
TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania
Friday, May 20, 2011
MAKAMU WA RAIS MGENI RASMI SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAUGU
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na Muuguzi mstaafu Jito Ramu, aliyekuwa mmoja kati ya wauguzi waliohudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 40 ya kuzaliwa Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA), zilizofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salam leo. Dkt Bilal alikuwa mgeni rasmi katika sherehe hizo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo ya jinsi wauguzi wanavyofanya kazikuhusu mishipa ya fahamu na Ubongo, kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Wauguzi Tanzania Tawi la Moi, Prisca Tarimo, wakati alipotembelea banda la Moi Dharura, kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 40 ya kuzaliwa Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA), zilizofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salam leo.
Wauguzi wakipita na mabango yenye ujumbe mbalimbali mbele ya mgeni rasmi wakati wa maadhimisho ya miaka 40 ya kuzaliwa Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA), zilizofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja.
Baadhi ya wauguzi wakiserebuka kushangilia sherehehe hiyo wakati msanii wa muziki Mrisho Mpto, walipokuwa akitoa burudani kwenye sherehe hizo.
Wauguzi waliohudhuria sherehe hizo wakila kiapo mbele ya mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati wa sherehe hizo. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Bodi ya Udhamini baada ya sherehe hizo. Baadhi ya wauguzi wakipia kwa maandamano mbele ya mgeni rasmi.
Kocha Kondo nassoro akimwelekeza bondia chipukizi Zainabu Mhamila (Ikota) huku nyuma akielekezwa jinsi ya kutembea na kocha Habibu Kinyogoli wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Ilala Dar es Salaam
DVD MPYA YA MASUMBWI YA BONDIA SAID MBWELWA
DVD MPYA YA BONDIA MTANZANIA SAID MBELWA AKICHEZA MAPAMBANO YAKE NJE YA NCHI KWA MAHITAJI FIKA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI AU PIGA SIMU 0713406938
KAVA YA VIDEO YA SUPER D BOXING COACH
SUPER D BOXING COACH DVD MPYA
DVD MPYA ZA SUPER D BOXING COACH SASA ZIPO SOKONI
DVD MPYA ZA MAFUNZO YA MCHEZO WA NGUMI ZIPO MTAANI KWA AJILI YA MAFUNZO YA MCHEZO HUO HIVI SASA KWA MAITAJI YA JUMLA NA REJAREJA PIGA SIMU
0787 0774 0754 4O6938 0713 0733 AU FIKA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI KARIAKOO DAR ES SALAAM AU FIKA JENGO LA AZAM MSIMBAZI KARIBU NA POLISI POST GEREZANI p.o.box 15493 DAR Email.superdboxingcoach@gmail.com http://www.facebook.com/groups
DVD ZA MAFUNZO YA MCHEZO WA NGUMI ZIPO MTAANI KWA AJILI YA MAFUNZO YA MCHEZO HUO HIVI SASA KWA MATAJI YA JUMLA NA REJAREJA PIGA SIMU 0787/0774/0715/0754/0733/0713-406938 AU FIKA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI 0652755838
SPORTSVIEWS
Visitors
Viwanjani time
DAWA YA NGUVU
TANGAZO
DAWA YA NGUVU ZA KIUME NA MSISIMKO KWA WANAWAKE WASIO NA HAMU YA TENDO LA NDOA AMBAYO HULETA MSISIMKO KWA WANAUME NA WAKE WAKUTANAPO.KWA SASA INAPATIKANA KWA BEI NAFUU HAPA JIJINI DAR ES SALAAM MAKUTANO YA MTAA WA KIPATA NA BARABARA YA MSIMBAZI
No comments :
Post a Comment