Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Wednesday, May 25, 2011

KAMPUNI YA SIMU TANZANIA TTCL YAZINDUA BODI MPYA YA WAKULUGENZI












Bodi Mpya na yazamani ikiwa katika picha ya pamoja leo


Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa kulia akizungumza na Mwenyekiti mpya wa bodi ya Kampuni ya Simu Tanzania TTCL Dkt. Enos Bukuku





wajumbe wapya na wazamani wakijadiliana baada ya kuzinduliwa bodi mpya






bodi mpya




Waziri wa Mawasilino,Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa akimpongeza Mwenyekiti mpya wa bodi wa Kampuni ya Simu Tanzania TTCL Dkt. Enos BUkuku katikati ni Said Amir Said









MTENDAJI MKUU SAID aMIR SAID akitambulisha bodi Mpya
























AMANDA LUHANGA AKIWA NA KAMERA YAKE KWA AJILI YA KUCHUKUA MATUKIO MBALIMBALI









































MGAMBO WASAMBALATISHA KIJIWE CHA WAVUTA GUNDI NA KUCHEZA KAMARI





Mgambo wa manspaa ya Ilala wakifanya ulinzi katika mzunguko wa barabara ya Uhuru na Msimbazi ambapo watoto wanaoisha katika mazingira magumu wamegeuza kijiwe cha kufuta bangi,kucheza kamari na kuvuta ngundi kwa aqjili ya ulevi





Watoto wanaoishu katika mazingila maguma wakibadilishana gundi ili wavute walewe
















CHAMIJATA KWENDA KOREA KUSINI





Mwenyekiti wa chama cha michezo ya Jadi Mohamedi Kazingumbe kulia akizungumzia moja ya tuzo walizozipata korea ya kusini kwa ajili ya kushiliki michezo ya asili kushoto ni mweka hazina wa chama hicho,Sophia Kinega

Baadhi ya wachezaji wakicheza mchezo wa bao













MSONDO NGOMA YAENDELEA KUTESA DDC KARIAKOO KILA J2





Waimbaji wa bendi ya mSondo ngoma wakishambulia jukwaa wakati wa onesho lao kutoka kushoto ni Romani Mng'ande, Frenk Sudda na Hasani Moshi




Juma Katundu
Hamisi Mnyupe na Romani Mng'ande






No comments :

Post a Comment