Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Sunday, October 7, 2012

ZUKU YAJA NA TUNAKUDHAMINI!




Veranda Raphael Meneja msaidizi masoko wa Zuku, akijadiliana jambo na Fadhili Mwasyeba  Meneja Wananchi Satellite Tanzania, mara baada ya kuzungumza na wandishi wa habari kuhusu mtandao wa mawakala wa Zuku wakati wa uzinduzi wa programu ya kuzawadia wateja ijulikanayo kama Zuku Tunakudhamini - Pata TV Bure. Programu hii itawazawadia wateja ambao wataunganisha wateja wapya kwa mtandao wa Zuku..Sambamba ni Irene Muratha Mkuu wa Masoko Satellite Wananchi

Fadhili Mwasyeba  Meneja Wananchi Satellite Tanzania (katikati) akielezea wandishi wa habari kuhusu mtandao wa mawakala wa Zuku wakati wa uzinduzi wa programu ya kuzawadia wateja ijulikanayo kama “Zuku Tunakudhamini - Pata TV Bure,” Programu hii itawazawadia wateja ambao wataunganisha wateja wapya kwa mtandao wa Zuku.

No comments :

Post a Comment