Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Friday, April 5, 2013

Mhe. Dk Shukuru Kawambwa atembele LAB ya Elimu White Sands





 Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk Shukuru Kawambwa akiangalia baadhi ya shughuli zilizofanywa na wataalam wa elimu, katika hoteli ya White Sands hivi karibuni.

 Waziri wa Elimu, Waziri wa Fedha na Naibu Waziri wa Fedha  wakibadilishana mawazo walipokutana katika Hoteli ya White Sands walipokwenda kutembelea timu ya wataalam mbalimbali.

 Waziri wa Elimu Dk Shukuru Kawambwa akisikiliza kwa makini maelezo yaliyokuwa yakitolewa na mmoja wa wataalamu wa Elimu. Wengine katika picha ni Mkuregenzi wa Elimu yasekondari Bi Paulina Mkonongo na Kamishina wa elimu bi Bahallausesa.

Waziri wa Elimu Dk Shukuru Kawambwa akizungumza jambo na wataalamu wa elimu.

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk. Shukuru kawambwa  ametembelea timu ya wataalam mbalimbali wa elimu waliopo White Sands Hotel katika zoezi la kupitia changamoto za elimu msingi (Elimu ya Msingi na Sekondari) na kutafuta ufumbuzi wake ambayo itapelekea kubainisha vipaombele vya kuboresha elimu katika ngazi hiyo.




Timu hii ni kati ya timu sita zilizopo katika hoteli hiyo zenye lengo la kutatua changamoto mbalimbali nchini. katika ziara hiyo Mhe. Dk Kawambwa alipata maelezo mbalimbali kuhusu hatua iliyofikiwa na wataalamu hao. Timu hizo zilizunduliwa wiki sita zilizopita na inategemewa kufungwa na Mhe. Waziri Mkuu Mizengo Pinda siku ya Ijumaa.

No comments :

Post a Comment