Bondia Martin Shekivuli kushoto akipambana na Abdull Ndosa wakati wa mpambano wao wa kirafiki ulifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita mpambano huo ulitoka droo Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Amour Mzungu katikati akipambana na Josefu Marwa wakati wa mpambano wao wa kirafiki uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita kushoto ni refarii Ibrahimu Kamwe Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Refarii Ibrahimu Kamwe akimnyoosha mkono juu Amour Mzungu kuwa mshindi wa mpambano huo dhidi ya Josefu Marwa Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Diwani wa Kata ya Bwilingu Chalinze Bagamoyo,Ahmed Karama Nassar katikati akizungumza mbele ya mabondia Issa Omari kushoto na Shabani Madilu kabla ya mpambano wao Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Diwani wa Kata ya Bwilingu Chalinze Bagamoyo,Ahmed Karama Nassar |
Diwani wa Kata ya Bwilingu Chalinze
Bagamoyo,Ahmed Karama Nassar amesema yupo tayali kushilikiana na wadau
mbalimbali ili iwezekane kupatikana ukumbi maalumu wa mchezo wa masumbwi
Chalinze aliyasema hayo mwishoni mwa wiki iliyopita katika mapambano ya
ngumi yaliyopigwa katika ukumbi wa CCM Mwijuma Mwananyamala
Nina tarajia kufikisha mbali mchezo huu
kwa kuwa mmenishawishi kuupenda mchezo wa masumbwi mchezo unaopendwa na
wengi na kukimbiwa na wadhamini wachache ata hivyo nimeandaa mpambano
rasmi utakaochezwa Chalinze kwa ajili ya kuhamasisha mchezo huu siku ya
April 21 hivyo nawaomba wadau wote wa ngumi tuamie chalinze kwa mda hili
tuweze kuhamasha mchezo huu
Ambapo siku hiyo kutakuwa na ushindani
mkubwa wa mabondia kutoka Dar es salaam watacheza na mabondia wa
Chalinze siku hiyo ata hivyo kwa kuonesha kwamba anajili na anathamini
mchezo wa masumbwi ame aidi kutoa gari moja kwa ajili ya mashabiki na
mabondia kwenda kushiriki mchezo uho wa April 21
mbali na ahadi hiyo Diwani huyo ametoa
pesa taslimu shilingi 1,50000 kwa ajili ya malipo ya baadhi ya mabondia
waliokuwa awajilipwa na kuanza kudai kabla ya kupanda ulingoni na
kuhamua kuchukua jukumu hilo la kuwalipa mabondia hao
Mmoja ya wadau wa mchezo wa masumbwi
nchini Ibrahimu Kamwe amesema kuwa yupo tayali kutoa ushilikiano wa
hali na mali kwa kuanzia atachukua baahi ya vijana kwa ajili ya kwenda
kucheza mchezo wa masumbwi uliopangwa siku hiyo hivyo tupo pamoja unajua
ngumi watu wanapenda kuangalia ili galama zake ni kubwa ata hivyo naona
ajabu wadhamini kushindwa kujitokeza kuzamini mchezo huu unaopendwa na
vijana wengi
na kuwataka wadau wengine kuiga mfano wa Ahmed Karama Nassar kwa kuanza kusapoti mchezo wa masumbwi sehemu uliyopo
No comments :
Post a Comment