Mhandisi wa Kampuni ya Dr Gogo
engineering limited, Godwin Kalaghe (kulia), akimkabidhi Mkurugenzi wa
Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo
nyaraka za taarifa za kukamilika kwa ujenzi wa kisima cha maji katika
Kijiji cha Makanya, wilayani Same juzi. Ujenzi wa kisima hicho
uliogharimu sh. mil. 51.6 ulifadhiliwa na TBL (Chanzo: Richard
Mwaikenda).
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment