
Chama cha riadha Dar es Salaam DAA, Kwa kushirikiana na Shirikisho la Riadha Tanzania RT, kimeandaa mbio za wazi za mchezo huo zitakazonyika Desemba tano hadi sita katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Katibu wa DAA, Lucas Nkungu amesema mashindano hayo ya siku mbili yanashirikisha wachaezaji wote kutoka Tanzania Bara na Visiwani
No comments :
Post a Comment