Chama cha mchezo wa pooltable cha kulipwa hapa nchini PT, kinasaka fedha zaidi ya million 14 za maandalizi ya timu ya taifa itakayoshiriki mashindano ya kimataifa ya mchezo huo yatakayoafanyika mwishoni mwa juni na kumalizika July mwakani nchini Uingereza.
Rais wa PT, Chatta Michael amefahamisha kwamba wanatarajia kufanya mashindano ya ndani ya nchi ili wapatikane wachezaji wa tano watakaoshiriki mashindano hayo, huku chama kkiwa hakina uwezo wa kuzipata fedha za maandalizi hayo.
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
10 hours ago
No comments :
Post a Comment