Afisa Habari wa Simba Cliford Mario Dimbo ametanabaisha umma kuwa taarifa hizo si za kweli isipokuwa wanasubiri Kocha Mkuu Patrick Phiri kuwa ni aina gani ya wachezaji atakaowahitaji.
Ndimbo pia amejigamba katika shindano la Tusker Challenge Cup litakaloaanza Decemba kuwa watahakikisha wanalichukua tena kutokana na kikosi chao kusheheni wachezaji wazuri kuliko vilabu vyote vitakavyoshiriki katika michuano hiyo.
Simba kesho inateremka katika dimba la Uhuru kucheza na timu ya Rovu Shooting ikiwa ni mchezo wa kirafiki kocha akiutumia kujaribu wachezaji wake ambao hawakupata nafasi ya kucheza katika kikosi cha kwanza.
No comments :
Post a Comment