Mwenyekiti wa Bodi wa Kampuni ya bia ya Serengeti jaji, Mark
Bomani (kulia) akimkabidhi hundi ya shilingi milioni.12 kwa Mratibu
wa Kamati ya kupanda Mlima Kilimanjaro Bw. Joseph Kitani, wakati
wa uzinduzi wa Sherehe za kupanda Mlima uho, Dar es salaam jana,
anaeshughudia katikati ni Mjumbe wa Kamati hiyo na Diwani wa Kata
ya Mchikichini Bw. Leonard Lupilya.(Picha na Rajabu Mhamila)
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
10 hours ago
No comments :
Post a Comment