Wanamuziki wa MSONDO MUSIC BAND wakiwajibika wakati wa
onesho lao lililofanyika Dar es salaam juzi kushoto ni Eddo Sanga na
Rashidi Mwezingo.(Picha na RAJABU mhamila)
Bendi ya Msondo Ngoma Music inatarajia kufanya onesho maalumu kwa wakazi wa Zanzibar wakati wa sikukuu ya Idd el Hajj kesho
Akizungumza jana,Msemaji wa bendi hiyo Rajabu Mhamila 'Super D' alisema pia watatumia onesho ilo kutambulisha nyimbo zao zilizo katika albam mpya ya huna shukurani,hikiwa na nyimbo za Kiapo Mama Cos, Haki yangu.na nyingin
''Onesho litafanyika katika ukumbi wa Gymkhana Zanzibar, tunaamini mashabiki wetu wa Zanzibar watafurahia hili onesho la aina yake kwa kuwa tumejipanga vema alisema Mhamila
Pia alisema watatambulisha wimbo mpya wa mwanamuziki Eddo Sanga uitwao Lipi jema na kwamba kwa sasa kundi hilo lipo juu, hivyo kuwataka mashabiki wa Zanzibar wajihandae kupata vitu vya uhakika Nae Mkurugenzi wa kundi hilo Muhidini Gurumo alisema wamejipanga vizuri na kuwa Idd Pili watatumbuiza kwenye ukumbi wa CCM kata 14 Temeke jijini Dar es salaam
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
10 hours ago
No comments :
Post a Comment