Zaidi ya timu kumi za mchezo wa ngumi zimethibitisha kushiriki mashindano ya mchezo huo ya vijana yanayotarajiwa kuanza Nov 24 hadi 29 mwaka huu kwenye uwanja wa ndani wa Taifa uliopo jijini hapa.
Katibu Mkuu wa Chama cha Ngumi za ridhaa hapa nchini BFT, Makore Mashaga amefahamisha kwamba mashindano hayo ya kutafuta klabu bigwa ya vijana vijana inashirikisha wachezaji kutoka klabu zote hapa nchini.
klabu zilizothibitisha ni Sifa, Magereza, JKT, Kariakoo, Azimio, Mavituz, Mtoni, Mbagala, Makongo, Urafiki, Mlandizi, Luaha Galax na Temeke.
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
10 hours ago
No comments :
Post a Comment