Nyumba iliyounganishwa umeme kwa njia yawizi
Wahandisi wa shirika hilo wakiangalia baadhi ya nguzo zilizo katwa na wezi hao.
Wakiangalia nyaya zilizokatwa na kuibwa kwenye nguzo na kuwakosesha umeme.
Meneja wa Tanesco Mkoa wa Temeke, Richard Mallamia, akionyesha namna umeme ulivyounganishwa kimakosa na wizi huko Toangoma.
Fundi akiondoa mita ya wizi kwenye nyumba hiyo.
Gari liking'oa nguzo hizo za wizi.
Nyaya zilizokutwa ndani ya nyumba ya mtu mmoja ambaye alikua anaunganishiwa umeme na wezi hao.
Na Said Powa.
KATIKA haliisiyokuwa yakawaidaShirika la umemeTanzania (Tanesco) MkoawaTemeke jijini Dar es Salaam jana liligundua wizi wa ainayake baada ya kukamata nguzo zaidi ya 6 nanyayazake zaidi ya mita 600 zilizo sambaziwa umeme mitaani na wezi kwa kushirikiana na wenye nyumba.
Akizungumzia
tukio hilo mbele ya waandishi wahabari wakati wa operesheni hiyo
iliyofanywa kwenye eneo la Toangoma Kigamboni jijijini humo Meneja wa
Mkoa wa Tanesco Temeke Mhandisi Richard Mallamia, alisema wamepenyezewa
taarifa za wizi huo na raia wema natayari kabla ya kufika kwenye
operesheni hiyo uchunguzi wa awali unaonyesha kuna uwezekano wa
watendaji wa shirika kuhusika na tukio hilo.
Aidha
kwenye zoezi hilo ambalo lilikuwa kama la kushitukiza kwenye eneo la
Toangoma Masaki mmiliki wanyumba moja ambayo walikutwa
mafundiwakiendelea na ujenzi aliunganisha umeme kwakushirikiana na wezi
hao kwa kujichomekea nguzo zake mbili hadi kufikia nyumbayake ikiwa
niumbali wa zaidiyamita 200 bila ya kufuata taratibu za shirika.
Akielezea
tukio hilo Mhandisi wa Mkoa huo Ebenezer Fue, alisema pamoja na
kutofutwa kwa taratibu za uunganishaji kwenyeshirika lakinipia
uunganishwaji wenyewe wa umeme ni wahatari kwakua haujazingatia viwango
vya kitaalamu vinavyokubalika.
“Hizi
nguzo zilizotumika hapa sizo za kusambaza umeme hukumtaani ndiomaana
unaona wamezikatakata ili waweze kuzituumia na hatabaadhi ya viunganishi
vya kwenye nguzo haviunganishwi kama hivi inavyoonekana,” alisema Fue.
“Hivi
vifaa vyote ni vya shirika lakini vimefikaje huku nanani kavileta huku,
ndio hatua hii tuliyoanza kuchukua sasa itatubainishia, ingawa tumeanza
kutajiwa majina ya baadhi ya wahusika wa kazi hii ambao wamo ndani ya
shirika lakini nimapema sana kuwataja kwasasa ngoja tuendelee na
kukusanya taarifa zaidi” Mhandisi Malamia alifafanua.
Kwa
mfumo huohuo operesheni hiyo ilibaini maeneomengine mawili
kwenyekitongoji hicho cha Toangoma ambako nako pia zimechomekwa nguzo
nne zikiwa na nyayazake hukuwateja hao wakisubiri hatua za mwisho
kuingiziwa umeme ndani ya nyumbazao huku shirika hilo likiwa halina hata
taarifa za wateja hao
Lakini
jambo baya zaidi na la kusikitisha linalofanywa na wezi hao wamekuwa
wakikata nyaya kwa wateja waliounganishiwa umeme kihalali kwenye mitaa
na kuchukua nyaya zake kwenda kuunganishia watu wengine huku
wakiwakosesha umeme watu wengine.
MsafarawashirikashirikahilouliongozwanaMenejawaWilayayaKigamboniInjiniaEustardEdward,
ulifikahadieneoambalofamiliakadhaazimekosaumemebaadayanyayazakekuibwanakwendakuunganishiwawatuwengine.
Kwamujibu
wataratibu za shirika hilo ‘service line’ za umeme zote zinakuwa tayari
kwenye ramani ya shirika kwenye eneo lote la kusambaza umeme lakini
wateja walikutwa na umeme huo hata kwenye shirika ramani hiyo haipo kwa
hiyo mojakwamoja haoni wezi na wanpaswa kuchukuliwa hatuaza kisheria.
Hatahivyo
Mhandisi Mallamia alisema wizi huo umelitia hasara shirika kwasababu
hatanguzo zilizotumika kusambaza umemehuo sio nguzo za umemewa mtaaani
ni nguzo kubwa za kusambaza umeme kwenye laini kubwa, na ndiomaana
wamelazimika kuzikata zaidi ya maramoja ili ziweze kuendana sawa ambapo
alisema kufanya hivyo nihasara kubwa kwani nguzo moja pekee thamani yake
karibu Tsh 2 Millioni.
Aidha
Mallamia amewapongeza watanzania wenye uchungu na shirikalao kwakutoa
taarifa za wizi huo na kuwataka kufanya hivyo mara kwa mara ili kufichua
uovu huo.
Tangu
Shirika hilo kufungua ofisi za kanda Mikoa na Wilaya na kuwa na
Mameneja wenye meno kumekua na ufanisi kiutendaji ndani ya shirika kwa
kuweza kufuatilia matukio kwa haraka.
No comments :
Post a Comment