Baadhi
ya
Wamiliki wa magazeti Tandao walioko jijini Dar es Salaam, wakiwa katika
picha
ya pamoja walipokutana katika tafrija ya kuwaaga, washiriki wa shindano
la
Guinness Football Challenge 2013. Kutoka kushoto ni Kassim Mbaruku,
Fransic Dande, Josephat Lukaza, William Malecela, Ahmad Michuzi, John
Bukuku, Henry Mdimu na Othman Michuzi ambaye amekaa chini ni Mroki Mroki
a.k.a Father Kidevu.
ISIMANI WAJITOKEZA KWA WINGI KUMCHAGUA MRITHI WA LUKUVI
-
*Wananchi wa Kijiji cha Mkungugu jimbo la Ismani katika Halmashauri ya
Wilaya ya Iringa mkoani Iringa wakiwa katika foleni ya kupiga kura ya
kumchagua Mbu...
22 hours ago
No comments :
Post a Comment