Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Monday, January 21, 2013

MASHINDANO YA KIKAPU YAANZA KUTIMUA VUMBI LEO



TIMU YA TAIFA TANZANIA  YA MPIRA WA KIKAPU WANAWAKE PIcha na www.burudan.blogspot.com
Mchezaji wa timu ya taifa ya tanzania akijaribu kumtoka mchezaji wa kenya wakati wa mashindano ya kanda tano ya mpira wa kikapu leo PIcha na www.burudan.blogspot.com
TIMU YA TAIFA TANZANIA  YA MPIRA WA KIKAPU WANAWAKE PIcha na www.burudan.blogspot.com



Mchezaji wa timu ya kikapu wa Kenya Pority Auma akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa tanzania wakati wa ufunguzi wa mashindano ya kanda tano Afrika yaliyozinduliwa Dar es salaam jana kenya ilishinda  74 kwa 32. PIcha na www.burudan.blogspot.com

No comments :

Post a Comment