Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Monday, January 14, 2013

M MAREKANI KASEY KELLER ALIYECHEZEA FULHAM, LEICESTER CITY, TOTTENHAM, SOUTHAMPTON BORUSSI AMBAYE YUPO NCHINI AKIONGOZA UJUMBE WA SEATTLE SOUNDERS ASIFU VIPAJI TANZANIA



Kasey Keller akizungumza na wachezaji wa Simba B na African Lyon B baada ya kushuhudia mchezo wao leo Karume jijini Dar es salaam

Kocha wa African Lyon Otieno akiwaonyesha wachezaji jinsi sehemu ambayo  wanayokwenda kucheza pindi wakiingia uwanjani wakati wa mchezo wao na Simba B uliochezwa uwanja wa Karume leo jioni na timu zote kutoka sare ya bao 1-1


Kasey Keller na March Burch na wenzao wakifuatili mpambano wa Simba B na African Lyon B leo jioni Karume




No comments :

Post a Comment