HABARI
 zilizopatikana hivi punde juu ya ndugu yetu,Mtanzania mwenzetu mwigizaji na 
mwanamuziki maaraufu Sharo Milionea amefariki dunia.
Kwa mujibu wa taarifa hizo  msanii huyo amefariki kwa ajali ya gari alilokua akiendesha mwenyewe majira ya saa 2 usiku ,Maeneo ya Mjini  Muheza mkoani Tanga.Marehemu Hassan Mkiety 'sharo Milionea kifo chake ni pigo katika fani ya maigizo na uchekeshaji


No comments :
Post a Comment