Meneja wa Kutengeneza Ofa za Intaneti za Kampuni ya Tigo, David Sekwao (kushoto) akibofya kwenye kompyuta kupata mmoja wa washindi 42 wa droo ya pili ya Smartcard, Dar es Salaam. Anayeshuhudia kulia ni Mkaguzi Mwandamizi wa Bodi ya Taifa ya Kusimamia Michezo ya Kubahatisha nchini, Abdallah Hemed. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
ACT WAZALENDO WAITWA KUUNDA SERIKALI ZANZIBAR
-
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema kina imani na Serikali ya Umoja wa
Kitaifa (SUK) kwani ndio mfumo ambao waZanzibari ...
4 hours ago
No comments :
Post a Comment