Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Monday, November 12, 2012

CHOKOLAA AINOGESHA MSONDO NGOMA MAX BAR ILALA


Msanii wa bendi ya Mapacha Watatu Khalid Chokolaa (kushoto) akiimba sambamba na wasanii wa bendi ya msondo Muhidini Gulumo Juma Katundu na Shabani Dede picha na www.burudan.blogspot.com

Wasanii wa bendi ya msondo ngoma kushoto ni Said Mabdera na Shabani Dede wakitoa burudani sambamba na msanii wa bendi ya Mapacha Watatu Khalid Chokolaa alipotembelea bendi hiyo iliyo na Maskani yake Ilala katika ukumbi wa Max Bar picha na www.burudan.blogspot.com

msanii wa bendi ya Mapacha Watatu Khalid Chokolaa kulia akiwa sambamba na wapuliza Ara wa bendi ya Msondo ngoma kushoto ni Shabani Lendi, Hamisi Mnyupe na Roman Mng'ande alipotembelea bendi hiyo kongwe kwa ajili ya kupata burudani pamoja na kutaka kujua miziki ya Asili ya Tanzania Ilala katika ukumbi wa Max Bar picha na www.burudan.blogspot.com

Msanii wa bendi ya Msondo Ngoma Romani Mng'ande akiimba sambamba na mwimbaji wa bendi ya Mapacha WAtatu Khalidi Chokolaa kulia wakati alipotembelea bendi hiyo mwishoni mwa wiki

No comments :

Post a Comment