Promota 
 wa mchezo wa masumbwi Mohamed Bawazir katikati akiwainua mikono juu 
bondia Fransic Miyayusho kushoto na Nassibu Ramadhani wakati wa 
kutambulisha mpambano wao utakaofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba 
siku ya DECEMBER 9, 2012. Tiketi za
 VIP za mpambano huo kwa sasa zipo tayali kwa maitaji ya kuwai kununua 
mapema kabla azijaisha wasiliana na Promota kupitia namba  0715 666686 Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mabondia
 Nassibu Ramadhani na Fransic Miyayusho wakitunishiana misuri wakati wa 
kutambulisha mpambano wao wa ubingwa wa WBF utakaofanyika Desemba 9 
katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam  Tiketi za VIP za mpambano huo kwa sasa 
zipo tayali kwa maitaji ya kuwai kununua mapema kabla azijaisha 
wasiliana na Promota kupitia namba  0715 666686   Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mwandaji wa mpambano wa ubingwa wa WBF Mohamed Bawazir katikati akiwa 
ameshika mkanda na mabondia Nassibu Ramadhani kushoto na Fransic 
Miyayusho kulia wengine kulia ni Rais wa PST Emanuel Mlundwa ambao na 
wasimamizi wa mpambano huo na Kushoto ni Mratibu Paul Kunanga na Kocha 
wa Nasibu Christopher Mzazi
  | 
| Mabondia Nassibu Ramadhani na Fransic Miyayusho 
wakitunishiana misuri wakati wa kutambulisha mpambano wao wa ubingwa wa 
WBF utakaofanyika Desemba 9 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam 
Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com | 
 
No comments :
Post a Comment