Rais Mstaafu wa awamu ya pili ya 
utawala huru wa Afrika Kusini, Thabo Mbeki (kulia) akifafania jambo 
wakati wa Majadiliano ya duara kuzungumzia uongozi barani Afrika na 
changamoto za maendeleo uliofanyika jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni
 Mwenyekiti wa Mdahalo huo ulioandaliwa na Taasisi ya UONGOZI Tanzania, 
Waziri Mkuu Mstaafu, 
Cleopa David Msuya. Mbeki alikuwa Mgeni Rasmi katika mdahalo huo.
Cleopa David Msuya. Mbeki alikuwa Mgeni Rasmi katika mdahalo huo.
 Mwenyekiti wa Majadiliano ya duara 
kuzungumzia uongozi barani Afrika na changamoto za maendeleo, 
ulioandaliwa na Taasisi ya UONGOZI Tanzania, Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa
 David Msuya akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mdahalo huo jijini Dar es
 Salaam leo. 
 Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya UONGOZI, Prof. Joseph Semboja, akizungumza katika mdahalo huo. 
 Rais Mstaafu wa awamu ya pili ya 
utawala huru wa Afrika Kusini, Thabo Mbeki (kulia) akikiwa mwenye 
tabasamu wakati Mwenyekiti wa Majadiliano ya duara kuzungumzia uongozi 
barani Afrika na changamoto za maendeleo ulioandaliwa na Taasisi ya 
UONGOZI Tanzania, Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa David Msuya akitoa 
ufafanuzi wa majadiliano. 
 Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa David 
Msuya na Mwenyekiti wa Mdahalo wa Uongozi Afrika, pamoja na Afisa 
Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya UONGOZI, Prof. Joseph Semboja (katikati) 
wakimsikiliza Balozi wa kwanza wa Tanzania nchini Afrika Kusini Ami 
Mpungwe ambaye kwa sasa ni mfanyabiashara na Mwenyekiti wa Tanzanite One
 muda mfupi kabla ya kuwasili kwa Mgemi rasmi wa Majadiliano ya duara 
kuzungumzia uongozi barani Afrika na changamoto za maendeleo.  
No comments :
Post a Comment