MSANII wa Filamu nchini anaekuja kwa kasi ya ali ya juu John Maganga 
ameamua kuanzisha kampuni yake kwa ajili ya kazi za sanaa akizungumza na
 mwandishi wetu Dar Es salaam jana amesema amefungua Kampuni yake ijulikanayo kwa jina la Jom Entertainment Co. Ltd
Kwa ajili ya kazi mbalimbamba za sanaa akizungumzia jinsi 
alivyojingiza katika Tasnia hiyo Maganga anmease alianza kuona kipaji 
chake tangia mwaka 2001 alipokuwa akifundishwa na msanii nguli wa filamu
 nchini Ndumbago Misayo 'Thea' ambaye alikuwa mwalimu wake wa maigizo 
wakati wapo kanisani pale Mwananyamala.
Ndipo baadae na mimi nikaja kujijua kuwa nina kipaji cha kuigiza 
nikanza kucheza filamu ya kwanza iliyokwenda kwa jina la Miracle of 
Love  ambayo ilifanya vizuri sana katika kumtambulisha kisanaa nchini
Mwaka 2008 nikashauliwa na ndugu yangu Deogratios Shija kuwa mimi
 nina kipaja cha kushiliki filamu kubwa hapa nchini ndio mana sikusita 
kufungua Kampuni yangu kwa ajili ya kuendeleza fani hii
Ambapo kwa sasa niko njiani kutoa filamu ya Beaut Fools 
aliyowashilikisha wasanii kama Aunt Ezekier,Hji Salumu 'MBoto' na 
wengine wengi
Msanii huyo aliyeimwagia sifa kem kem Kampuni ya Steps 
Entatainment ya jijini Dar es salaam kwa kufanya kazi vizuri na wasanii 
nchini.

No comments :
Post a Comment