
Mtoto
 wa kiume anayekadiriwa kuwa na umri kati ya mwezi moja au mwezi mmoja 
nusu akiwa amebebwa na mama msamaria mwema baada ya kuokotwa akiwa 
ametelekezwa kwenye takataka ngumu nyuma ya nyumba ya kulala wageni ya 
Subira iliyopo mjini Singida.
Mama
 msamaria mwema akiwa anasindikizwa na askari polisi kumpeleka mtoto 
mchanga kituo kidogo cha polisi kilichopo kituo cha zamani cha mabasi 
mjini Singida.Mtoto huyo wa kiume ameokotwa (16/11/2012) baada ya 
kutelekezwa kwenye lundo la takataka na mtu ambaye bado hajafahamika 
hadi sasa. (Picha na Nathaniel Limu).


No comments :
Post a Comment