Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akitoa salam za 
Chama, kwenye msiba wa msanii, Joseph Maganga, Mwananyamala, Dar es 
salaam. Maganga alifariki Jumamosi hii
 Katibu wa NEC, Itikadi na uenezi CCM, Nape Nnauye akiwa kwenye 
shughyuli ya kuaga mwili wa msanii, John Maganga, Mwananyamala, Dar es 
salaam
 Msanii wa Bongo Movie, Husna Maulidi 'Lishez', akituliwa na wenzake, 
Babby Candy na Ketty wakati akilia kwa uchungu, wakati wa kuaga mwili wa
 Msanii wa Bongo Movie, marehemu John Maganga
 Wasanii wa Bongo Movie wakibeba jeneza lenye mwili wa msanii mwenzao, 
John Maganga, wakati wa kuaga mwili huo, Mwananyamala, Dar es Salaam
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akimpa pole Stephen 
Maganga, baba wa msanii John Maganga wakati wa kuaga mwili wa msanii 
huyo, Mwananyama, Dar es salaam
Katibu wa NEC, Itikadi ana Uenezi, Nape Nnauye akimpa pole Rais wa 
No comments :
Post a Comment