Mkurugenzi
 Mkuu wa Kampuni ya bia ya Serengeti,Steve Gannon (wapili kulia) , akiwa
 pamoja na wafanyakazi wa SBL wakigonganisha chupa zao za Tusker Lite 
kuashiria furaha ya kuzinduliwa kwa  bia hiyo mpy. Tusker Lite 
ilizinduliwa wakati wa tafrija maalum ya ‘Markerts Night’ jijini Dar es 
Salaam jana.
Wafanyakazi
 wa kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) wakiwa na mmoja wa washindi wa 
shindano maalum la uchezaji mziki lililofanyika katika usiku maalum wa 
Maafisa masoko jijini Dar es Salaam jana. Mshindi huyo wa pili 
alizawadiwa Glass maalum ya Tusker Lite, bia mpya iliyozinduliwa usiku 
huo.
Mkurugenzi
 wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Epraim Mafuru (mwenye 
suti kushoto) akimkabidhi zawadi ya Tusker Lite, Meneja bidhaa wa Push 
Mobile, Gonzoga Rugambwa  baada ya kuibuka mshindi wa kwanza wa shindano
 maalum la uchezaji mziki lililofabnyika wakati wa uzinduzi wa bia ya 
Tusker Lite sanjari na usiku wa maafisa masoko jijini Dar es Salaam jana
No comments :
Post a Comment